Tafiti

Tafiti mbali mbali zinazoendelea;
Ili kubainisha mchoro wa mwisho wa bomba la mafuta
Tafiti za miamba, udongo na maji – Utafiti  wa kina wa eneo la mradi kwa ajili ya mchoro na ujenzi
Utafiti wa Mwisho wa Kiuhandisi (FEED) – Kupata taarifa kuhusu jinsi litakavyobuniwa, kujengwa na kuendeshwa

Kubainisha athari za kimazingira na kibinadamu ikiwa ni pamoja na kuheshimu haki za binadamu – Tathmini ya kimazingira na kijamii (ESIA)

-Kutathmini hatari na fursa za kimazingira na kijamii (ikiwa ni pamoja na haki za binadamu) na fursa

 -Kubainisha hatua za kuzuia, kupunguza na kudhibiti athari mbaya

 -Kubainisha na kuimarisha athari chanya

Takwimu Muhimu

null

1,445km

Bomba la mafuta ghafi

null

216Kbd

kiwango cha mtiririko wa mafuta kwa siku

null

60%

Kuongezeka kwa asilimia ya Uganda na Tanzania wakati wa awamu ya ujenzi

null

3.5 Billion

Uwekezaji wa dola bilioni

null

500,000

vifaa kuagizwa kutoka nje