Mradi na Serikali ya Jamhuri ya Uganda na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa pamoja wamesaini Mikataba ya Nchi Hodhi tarehe 11 Aprili na 20 Mei 2021 katika mpangilio huu. Mkataba wa nchi Hodhi unaanzisha mfumo wa Kisheria na kibiashara kwa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kwa ajili ya kupata uwezeshaji wa kifedha, ujenzi pamoja na usimamizi wa uendeshaji wake.
MIKATABA YA NCHI HODHI YASAINIWA
Serikali ya Jamhuri ya Uganda na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zasaini Mkataba (IGA) wa Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), tarehe 26 Mei  2017. Kusainiwa kwa mkataba huu ni hatua muhimu sana kwa mradi.
MKATABA ULIOSAINIWA KATI YA SERIKALI
EACOP ni mradi wa bomba la mafuta lenye urefu wa kilometa 1,445 ambalo litasafirisha mafuta ghafi ya Uganda kutoka Kabaale-Hoima nchini Uganda kuelekea Peninsula ya Chongoleani karibu na bandari ya Tanga nchini Tanzania.
UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA
Ardhi itatakiwa kwa ajili ya kujenga Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki na miundo mbinu husika. Ardhi itapatikana kwa muda au kwa misingi ya kudumu. Mradi wa EACOP umedhamiria kubaini na kusaidia wananchi  walioathirika kadri iwezekanavyo.
UPATIKANAJI WA ARDHI
Wakati wa awamu ya ujenzi, EACOP itatengeneza maelfu ya nafasi za ajira kwenye njia nzima ya bomba la mafuta.
AJIRA NA ZABUNI

Kufungua fursa za Afrika Mashariki

Kamisheni ya Uchumi ya Afrika inaonyesha kwamba uchumi wa Afrika Mashariki ulikuwa kwa haraka zaidi mwaka 2016 ikilinganishwa na maeneo mingine barani Afrika, ambapo kiwango cha ukuaji kilikuwa asilimia 5.5 mwaka 2016, kilitegemewa kuongezeka hadi 6.0% mwaka 2017 na 6.3% mwaka 2018.

Ushiriki wa wazawa kwenye mradi

Tuna amini ushiriki wa wazawa ni njia mojawapo ya mafanikio ya mradi. Tutahakikisha ushiriki huu unafanyika  ipasavyo

Ajira na Zabuni

Wakati wa awamu ya ujenzi, EACOP itatengeneza maelfu ya nafasi za ajira katika njia nzima ya bomba la mafuta.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tunatoa majibu na pia kushughulikia masuala yote yanayoulizwa  kuhusu mradi wa EACOP

Takwimu Muhimu

null

1,445km

Bomba la mafuta ghafi

null

216Kbd

kiwango cha mtiririko wa mafuta kwa siku

null

60%

Kuongezeka kwa asilimia ya Uganda na Tanzania wakati wa awamu ya ujenzi

null

3.5 Billion

Uwekezaji wa dola bilioni

null

500,000

vifaa kuagizwa kutoka nje