Upatikanaji wa Ardhi

Ardhi itahitajika kujenga EACOP na miundo mbinu husika. Ardhi hii itapatikana kwa muda mfupi au kwa misingi ya kudumu.

Upatikanaji wa Ardhi ya Muda mfupi

Ndani ya upana wa mita 30 kwa ajili ya ujenzi.

Kwa muda mfupi kwa ajili ya miundo mbinu ya muda (kama kambi za ujenzi).

Ardhi inayohitajika kwa muda mfupi itakodishwa kwa takriban miaka 1- 4 na kurejeshwa kwa wamiliki katika hali iliyokuwepo awali.

Upatikanaji wa Ardhi ya Kudumu
Ardhi inahitajika kwa misingi ya kudumu kwa ajili miundo mbinu (Vituo vya kusukumia, Vituo vya Kupunguza msukumo na Kituo cha baharini cha kuhifadhia) na itachukuliwa kwa misingi kudumu.

Baada ya ujenzi, EACOP itahitaji kuwa na eneo pembeni ya bomba la mafuta kwa masharti fulani katika maeneo ya usalama.

Mradi wa EACOP umedhamiria:

Kuzingatia sheria husika za kitaifa na kimataifa.

Kuhakikisha kwamba wamiliki wote wa ardhi na watumiaji wanaoishi pembeni ya bomba la mafuta wanaheshimiwa na kufidiwa kwa haki.

Watu walioathirika wanajulikana na kusaidiwa kama ipasavyo
Mikataba salama na kila kaya iliyoathirika, kulipa fidia na kuwa na mipango ya kuwawezesha kujipatia tena kipato na kuzisaidia familia kuhama kwenye eneo hilo (kwa wale wanaochagua fidia ya mali kwa ajili ya kuhamisha makazi, kuwasaidia kuhamia kwenye eneo jipya).

Takwimu Muhimu

null

1,445km

Bomba la mafuta ghafi

null

216Kbd

kiwango cha mtiririko wa mafuta kwa siku

null

60%

Kuongezeka kwa asilimia ya Uganda na Tanzania wakati wa awamu ya ujenzi

null

3.5 Billion

Uwekezaji wa dola bilioni

null

500,000

vifaa kuagizwa kutoka nje