Tafiti mbali mbali zinazoendelea;
Ili kubainisha mchoro wa mwisho wa bomba la mafuta
Tafiti za miamba, udongo na maji – Utafiti wa kina wa eneo la mradi kwa ajili ya mchoro na ujenzi
Utafiti wa Mwisho wa Kiuhandisi (FEED) – Kupata taarifa kuhusu jinsi litakavyobuniwa, kujengwa na kuendeshwa
Kubainisha athari za kimazingira na kibinadamu ikiwa ni pamoja na kuheshimu haki za binadamu – Tathmini ya kimazingira na kijamii (ESIA)
-Kutathmini hatari na fursa za kimazingira na kijamii (ikiwa ni pamoja na haki za binadamu) na fursa
-Kubainisha hatua za kuzuia, kupunguza na kudhibiti athari mbaya
-Kubainisha na kuimarisha athari chanya