Kuheshimu Ushiriki wa Wadau
Mradi wa EACOP umedhamiria kuwashirikisha kikamilifu wadau wake wote kwa mujibu wa kanuni za ushirikishaji, kwa kuheshimu haki za binadamu, bila ubaguzi, uwezeshaji, uwazi na uwajibikaji. Kwa hivyo ushiriki wa wadau utafanyika ili:
- Kuanzisha uhusiano wa kudumu na wadau.
- Kutoa maelezo ya mradi ili kuwawezesha wadau kushiriki kikamilifu wakati wote wa mchakato.
- Kufanya kazi kwa kushirikiana na wadau ili kuelewa matatizo yao na kutafuta ufumbuzi.
- Kudhamiria kushughulikia matatizo ya wadau kwa njia ya haki na yenye ufanisi.
- Kushauriana katika mazungumzo ya wazi ambayo yatafaa kwa wadau mbalimbali
Takwimu Muhimu

1,445km
Bomba la mafuta ghafi

216Kbd
kiwango cha mtiririko wa mafuta kwa siku

Over 60%
Kuongezeka kwa asilimia ya Uganda na Tanzania wakati wa awamu ya ujenzi

3.5 Billion
Uwekezaji wa dola bilioni

Over 500,000
vifaa kuagizwa kutoka nje
Tufuatilie
Wabia wetu
Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Uganda (UNOC), Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania (TPDC) na Kampuni mbili za mafuta, TOTAL na CNOOC zitakuwa wanahisa wa Mradi wa Bomba la Mafuta la Mashariki….Soma zaidi