Dhamira ya kupata Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi
Tunazingatia rasilimaliza ndani/taifa kuwa ni muhimu kwa mafanikio ya shughuli zetu. Kwa hiyo tutahimiza ushiriki wa kitaifa na maendeleo ya rasilimali za ndani kwa kutumia njia zifuatazo;
Kuimarisha matumizi ya wafanyakazi wa Uganda na Tanzania na makandarasi kupitia mipango ya mafunzo na msaada kwa makampuni ya ndani
Kuhusisha mipango ya rasilimali za ndani / kitaifa katika mikataba yote ya mradi ili kuhimiza na kukuza manunuzi ya ndani ya bidhaa na huduma
Kusaidia maendeleo ya wasambazaji kwa kupunguza ugumu wa mikataba kama njia ya kuwawezesha kupatikana kwa makandarasi wa ndani
Kuhimiza na kuunga mkono uundwaji wa ubia kati ya makampuni ya kimataifa na ya ndani ili kuwezesha uhamisho wa stadi na muhimu zaidi teknolojia.
Kusaidia kuanzishwa nchini Uganda na Tanzania kusimamizi wa stadi za kiufundi kama vile:
- mipango ya maendeleo ya wasambazaji kwa lengo la kujenga uwezo katika ngazi ya kitaifa na mamlaka za
- chinimafunzo kwa vitendo kwa raia wa Uganda na Tanzania katika shughuli za petroli
- Kusaidia Kituo cha Kuboresha Viwanda ikiwa ni pamoja na Viwango vya Afya, Usalama, Mazingira na Ubora
- msaada wa taasisi zilizopo nchini Uganda na Tanzania kwa kutoa elimu, teknolojia, ushauri na ufadhili wa maso