Taarifa Ya Mradi – 16 Septemba 2021
Mafuta yanayozalishwa nchini Uganda katika eneo la ziwa la Lake Albert yatasafirishwa nchini Tanzania kupitia Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) na katika pwani ya bandari ya Tanga na mafuta hayo yatauzwa katika soko la dunia. Uzalishaji wa…