Deprecated: Array and string offset access syntax with curly braces is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-includes/script-loader.php on line 706

Deprecated: Array and string offset access syntax with curly braces is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-includes/script-loader.php on line 706

Deprecated: Array and string offset access syntax with curly braces is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-includes/script-loader.php on line 707

Deprecated: Array and string offset access syntax with curly braces is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-includes/script-loader.php on line 707

Deprecated: Function create_function() is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-content/plugins/masterslider/includes/classes/class-msp-main-widget.php on line 95

Deprecated: Array and string offset access syntax with curly braces is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-content/plugins/si-contact-form/captcha/securimage.php on line 727

Deprecated: Array and string offset access syntax with curly braces is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-content/plugins/Ultimate_VC_Addons/admin/admin.php on line 715

Deprecated: Function get_magic_quotes_gpc() is deprecated in /home/eacop/public_html/SW/wp-includes/load.php on line 760
Rasilimali za Ndani/taifa – EACOP

Rasilimali za Ndani/taifa

Dhamira ya kupata Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi

 Tunazingatia rasilimaliza ndani/taifa kuwa ni muhimu kwa mafanikio ya shughuli zetu. Kwa hiyo tutahimiza ushiriki wa kitaifa na maendeleo ya rasilimali za ndani kwa kutumia njia zifuatazo;

Kuimarisha matumizi ya wafanyakazi wa Uganda na Tanzania na makandarasi kupitia mipango ya mafunzo na msaada kwa makampuni ya ndani

Kuhusisha mipango ya rasilimali za ndani / kitaifa katika mikataba yote ya mradi ili kuhimiza na kukuza manunuzi ya ndani ya bidhaa na huduma

Kusaidia maendeleo ya wasambazaji kwa kupunguza ugumu wa mikataba kama njia ya kuwawezesha kupatikana kwa makandarasi wa ndani

Kuhimiza na kuunga mkono uundwaji wa ubia kati ya makampuni ya kimataifa na ya ndani ili kuwezesha uhamisho wa stadi na muhimu zaidi teknolojia.

Kusaidia kuanzishwa nchini Uganda na Tanzania kusimamizi wa stadi za kiufundi kama vile:

  • mipango ya maendeleo ya wasambazaji kwa lengo la kujenga uwezo katika ngazi ya kitaifa na mamlaka za
  • chinimafunzo kwa vitendo kwa raia wa Uganda na Tanzania katika shughuli za petroli
  • Kusaidia Kituo cha Kuboresha Viwanda ikiwa ni pamoja na Viwango vya Afya, Usalama, Mazingira na Ubora
  • msaada wa taasisi zilizopo nchini Uganda na Tanzania kwa kutoa elimu, teknolojia, ushauri na ufadhili wa maso

Takwimu Muhimu

null

1,445km

Bomba la mafuta ghafi

null

216Kbd

kiwango cha mtiririko wa mafuta kwa siku

null

Over 60%

Kuongezeka kwa asilimia ya Uganda na Tanzania wakati wa awamu ya ujenzi

null

3.5 Billion

Uwekezaji wa dola bilioni

null

Over 500,000

vifaa kuagizwa kutoka nje